17 September 2012

ZAWADI

Mkurugenzi wa Msaidizi Maendeleo ya Michezo, Juliana Yassoda (kulia) na Meneja Mauzo Taifa wa Kampuni ya Tanga Cement,
Leslie Massawe (katikati), wakikabidhi zawadi kwa Edgar Kazembe wa
Zambia ya kikombe na fedha dola 1,000 baada ya kuibuka mshindi wa jumla kwa upande wa wanaume katika mshindano ya Wazi ya Kimataifa ya Tenisi ya Simba yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika Viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam.Picha na Victor Mkumbo

No comments:

Post a Comment