Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Bw. Jordan Rugimbana (kulia) akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Wiki ya Usalama Barabarani wa Mkoa wa Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Usalama Barabarani jana. Kushoto ni Meneja wa Kamati ya Uzinduzi, Ofisa Mkaguzi Antony Paul na Bw. Doshi Shoto. (Picha na Charles Luca)
No comments:
Post a Comment