28 September 2012

TUHUMA


Askari polisi wakiongoza wateja wa Mtoni Bokorani wiyani Temeke, Dar es Salaam jana, waliokutwa na tuhuma za kuchezea mita za umeme kwa nia ya kuliibia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Shirika hilo linafanya operesheni isiyokoma ya kunasa wizi wa huduma hiyo nchini. (Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment