10 September 2012

Pinda


Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda na mkewe Tunu (mwenye miwani kulia), wakiangalia ufyatuaji wa matofari kwa teknolojia ya kisasa inayotumia saruji na udongo, Wilayani Kahama, alipozindua Kituo cha kilimo na kukabidhi matrekta kwa wakulima, alipofanya ziara ya siku moja wilayani humo jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment