10 September 2012

MSIBA

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,Jenerali Davis Mwamunyange,akitoa heshima za mwisho mbele ya miili ya askari waliokufa katika operesheni za kulinda amani Darful nchini Sudani,wakati wa kuaga miili hiyo,Dar es salaam jana.(Picha na Peter Twite)

No comments:

Post a Comment