28 September 2012

MKUTANO

Mmoja wa wanachama wa Yanga, Said Motisha akizungumza kwenye mkutano wa viongozi wa matawi ya klabu hiyo, walipokutana jana kupanga mikakati ya kuwafunga mahasimu wao Simba Oktoba 3, mwaka huu, mechi hiyo itachezwa Uwanja wa Taifa,Dar es Salaam kuanzia saa moja usiku (Picha na bongostaz.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment