28 September 2012

MKUTANO WA AGRA

Raisi Jakaya Kikwete (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa katika mazungumzo na Mkurungenzi wa Bill and Melinda Gate Foundation,Bi Melinda Gate (kulia) katika ufunguzi wa Mkutano wa Mapinduzi ya kijani Barani Afrika (AGRA), uliofanyika jijini Arusha jana.Kushoto ni Katibu Mkuu mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN),Bw. Annan.Picha na Freddy Maro-Ikulu.

No comments:

Post a Comment