07 September 2012

MISS ILALA 2012

Meneja wa Bia ya Redd's Victoria Kimaro (kushoto) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu shindano la Miss Ilala 2012 litakalofanyika leo jijini Dar es  Salaam, katikati ni Mratibu wa shindano hilo Juma Mabakila na kulia ni msanii wa filamu nchini Steven Nyerere (Picha na Amina Athumani)

No comments:

Post a Comment