Mchuuzi wa mihogo ambaye alikataa kutaja jina akimhudumia mteja wake aliyekuwa ndani ya gari kama walivyokutwa Barabara ya Sokoine, Posta Dar es Salaam jana, kupanda kwa ghalama za maisha kunasababisha baadhi ya watu kula chakula kisicho na ghalama kubwa ili kutuliza njaa. (Picha na Charles Lucas)
No comments:
Post a Comment