Mwenyekiti wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Simon Sayore akijiandaa kupiga mpira wa gofu katika mazoezi yaliyofanyika juzi kwenye viwanja vya gofu vya Lugalo, Dar es Salaam, nyuma yake ni mcheza gofu mstaafu Rafael Letara. Picha na Amina Athumani
No comments:
Post a Comment