19 September 2012

MATANGAZO


Mkazi wa jiji akilishangaa bango lenye tangazo linalohimiza tiba za asili, kama alivyokutwa eneo la MbuyuniOsterbay, Dar es Salaam jana. Matangazo ya aina hii yanadaiwa kupotosha jamii. (Picha na Peter Twite)

No comments:

Post a Comment