17 September 2012

MAKABIDHIANO


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), Bw. Akashambatwa Mbikusita-Lewanika (kushoto), akijiandaa kumkabidhi nyaraka   kwa Meneja Mradi wa Kampuni ya TSDI ya China, itayofanya utafiti wa ufufuaji wa  miundombinu, Bw. Jia Guangzhi, Dar es Salaam juzi. Katikati ni Naibu Mkurugenzi wa mamlaka hiyo, Bw. Damas Ndumbalo. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment