Mchuuzi wa vinywaji mbalimbali akitafuta wateja kwenye Kituo cha Daladala eneo la Ubungo River Side, Dar es Salaam jana. Biashara hivyo huzifanya katika mazingira magumu kutokana na kukosa vibanda hivyo kulazimika kutembea mwendo mrefu kusaka wateja. (Picha na Charles Lucas)
No comments:
Post a Comment