28 September 2012

MA DJ

Dj Nijo kutoka nchini Kenya (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya onesho la burudani litakalofanyika leo  atakaloshirikiana na ma Dj wa Tanzania, kushoto ni Dj Cue. (Picha na Amina Athumani)

No comments:

Post a Comment