11 September 2012

LIGI KUU ZANZIBAR

Beki wa Bandari, Kassim Hariri (kushoto) akiondosha hatari langoni mwake huku mshambuliaji wa Malindi akimfuatilia kwa nyuma katika mechi Ligi Kuu ya Grand Malt iliyopigwa juzi kwenye Uwanja wa Amaan. Bandari ilishinda mabao 3-2. Na Mpigapicha Wetu


No comments:

Post a Comment