10 September 2012

Haki na sheria


Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dkt. Helen Kijo-Bisimba akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondary Bethsaida, ambayo pia ni kituo cha kulea watoto yatima, iliyopo Mpigi Magoe, Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam, wakati wa ziara ya wafanyakazi wa benki ya Standard Chartered mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkuu wa Uhusiano wa benki hiyo, Bi. Juanita Mramba na Mkuu wa Idara ya Sheria, Bi. Nina Pendaeli Eshun. (Na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment