Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) Bi. Rose Ruben (kushoto) akimkabidhi Mhariri Mkuu wa Gazeti hili, Bw. Eckland Mwaffis cheti cha kutambua mchango wa gazeti hilo kwa mandeleo ya chama hicho, wakati wa hafla ya makabidhiano ya ofisi kwa mkurugenzi mpya iliyofanyika Dar es Salaam jana. (Picha na Anna Titus)
No comments:
Post a Comment