10 September 2012

BIASHARA

Watoto ambao (hawakufahamika majina yao) wakiwa kando ya biashara yao ya karanga zilizochemshwa wakisubiri wateja, kama walivyokutwa na mpigapicha wetu, Kituo cha Basi Msasani, Dar es Salaam jana.(Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment