05 September 2012

BIASHARA


Baadhi ya wafanyabiashara ndogondogo (machinga) wakisaka wateja kwenye magari yaliyokuwa katika foleni makutano ya Barabara za Bibi. Titi na Morogoro eneo la Kisutu, Dar es Salaam jana. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment