10 September 2012

BARABARA


Daladala likipita katika barabara mpya jana, iliyojengwa na Kampuni ya SRABARG inayojenga miundombinu ya Mradi wa Mabasi ya Haraka Dar es Salaam (DART), kukamilika kwa mradi huo utapunguza tatizo la usafiri jijini. (Picha na Charles Lucas)

1 comment:

  1. Sahihisho: Barabara inayojengwa na kampuni ya Strabag na sio iliyojengwa na. Mradi huo ndio kwanza umeanza na ujenzi unaendelea.

    ReplyDelete