24 September 2012

Ajali


Mwendesha Pikipiki aina ya Bajaj T 458 BTW, akiangalia pikipiki hiyo, baada ya kugongwa na gari ndogo namba T439 BEH na kuanguka katikati ya Barabara ya Nyerere, eneo la Uwanja Ndege, Dar es Salaam jana. (Picha na Nyakasagani Masenza)

No comments:

Post a Comment