Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, wakiwahimiza wahusika wa Lori la mizigo aina ya Scania namba T 901 CBT waliondoe haraka eneo hilo, baada ya tela la gari hilo kuchomoka, likiwa kwenye mwendo na kufunga barabara ya Nyerere, Dar es Salaam juzi. (Picha na Prona Mumwi)
No comments:
Post a Comment