10 September 2012

Ajali


Pikipiki iliyokuwa imebeba abiria na mifuko yenye nyama za mbuzi, ikiwa imezungukwa na wananchi baada ya kugongwa na gari ndogo, kwenye Barabara ya Nyerere, Dar es Salaam jana. (Picha na Nyakasagani Masenza)

No comments:

Post a Comment