21 August 2012

ZOGO


Abiria wa tatu (kushoto) akizongwa na wapiga debe wa Kituo cha Mabasi cha Msamvu, Mjini Morogoro, hivi Karibuni, tabia hii husababisha abiria kupoteza mizigo au fedha. (Picha na Nyakasagani Masenza)

No comments:

Post a Comment