23 August 2012

Watoto wakisheherekea sikukukuu ya Idi el Fitri

Baadhi ya watoto waliojitokeza kusherehekea sikukuu ya Idi el Fitri, katika tamasha la watoto la Green Fun Party, lilofanyika Fun City Kigamboni jijini Dar es Salaam wakibembea na kufurahia michezo mbalimbali. Tamasha hilo lilidhaminiwa na Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania.

No comments:

Post a Comment