Mkuu wa Mawasiliano na Masoko wa Vodacom, Bw. Kelvin Twisa akizungumza na wamiliki wa vyombo vya habari (hawapo pichani), wakati wa warsha ya siku mbili ilioandaliwa na Kampuni ya Capital Plus International (CPI), kwa ajili ya wadau wa habari Dar es Salaam juzi. (Na Mpigapicha Wetu)
No comments:
Post a Comment