22 August 2012

TAMASHA

Msanii chipukizi wa kundi la TMK Wanaume, Dogo Asley akiburudisha kwenye tamasha la Familia siku ya Idi Pili ambalo lilidhaminiwa na vinywaji vya Grand Malt, Vita Malt na kinywaji kipya cha Maltiza lililofanyika kwenye fukwe za Coco jijini Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya Intellectuals Communications

No comments:

Post a Comment