29 August 2012

SHANGA


Mwanamke mwenye asili ya kimasai anayeuza dawa za asili na shanga za urembo akipanga bidhaa hizo kwenye uzio wa Kituo cha Afya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam jana. jamii hiyo awali ilikuwa ikijihusisha na ufugaji. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment