Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Kapteni Honest Mwanossa, akijaribu kuendesha moja ya pikipiki tatu, zilizotolewa na Mkazi wa Wilaya ya Hanang, mkoani Manyara, Bw. Seleman China, kusaidia doria za Jeshi la Polisi. Pikipiki hizo zilikabidhiwa kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu, aliyezifikisha Hanang. (Picha na Mary Margwe)
No comments:
Post a Comment