22 August 2012

MAMBO VIPI?

Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Said Bahanuzi (mwenye nguo nyeusi) akizungukwa na mashabiki wa timu hiyo muda mfupi baada ya mechi ya kirafiki ya kati ya timu hiyo na African Lyon iliyochezwa juzi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Na Mpigapicha Wetu.

No comments:

Post a Comment