28 August 2012

MAJI


Wakazi wa Kigamboni Kisiwani, wakijaza maji katika madumu kama walivyokutwa na mpigapicha wetu Dar es Salaam jana, tatizo la maji kwenye eneo hilo linasababisha kuuzwa dumu moja kwa sh. 200 hadi 500. (Picha na Sittu Athumani)

No comments:

Post a Comment