Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Steve Kilindo, akinywa maji kwa kutumia mikono yake, kuashiria kuwa maji hayo ni safi na salama kwa matumizi ya binadamu, wakati wa hafla ya kukabidhi mradi wa visima 15, wilayani Ludewa, Mkoa wa Njombe juzi. Mradi huo umefadhiliwa na TBL. (Na Mpigapicha Wetu)
No comments:
Post a Comment