27 August 2012

MAADHIMISHO


Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Exim, Bw. Yogesh Manek  akishikwa mkono na moja wa wakurugenzi wa Bodi ya benki hiyo, Bw. Juma Mwapachu (kushoto), wakati wa sherehe ya  wafanyakazi kuadhimisha, Miaka 15 tangu kuanzishwa iliyofanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, (Wa pili kushoto) ni Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Bw. Anthony Grant. (Na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment