Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma, akitoa mada wakati wa kongamano la wadau wa vitivo vya sayansi, wakati wa kuadhimisha Miaka 20 ya Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT), Dar es Salaam jana. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Tolly Mbwete, Mkuu wa Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Profesa John Kondoro (wa pili kushoto) na Mhadhiri wa Kitivo cha Sayansi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM), Profesa Gaspar Mhinzi. (Picha na Charles Lucas)
No comments:
Post a Comment