10 August 2012

HUKUMU


Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, ambaye alishitakiwa kwa kuhujumu uchumi, Profesa Costa Mahalu, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana mara baada ya kuachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ,kulia ni ndugu yake Bw Mirasi Rama. (Picha na Sittu Athuman)

2 comments:

  1. POLE SANA BALOZI MAHALU NA MARTIN. MMEONEWA SANA NA WAKUBWA ZENU. RAIS MSTAAFU MKAPA NA RAIS WETU WAS SASA SI WANGALITAMKA TU MAPEMA KABLA YA KWENDA MAHAKAMANI KUWA NDIO WALIOIDHINISHA MALIPO YA HILO JENGO? WAO WANALINDWA KIKATIBA KUTOKUSTAKIWA MAHAKAMANI HATA KAMA YALIYOTENDWA NI MAKOSA . UMMA UMESOMA KATI YA MISTARI KUWA KULIKUWA NA HILA HILA ZA KIWIZI. WANANANCHI WATAWAHUKUMU KWA KUTUMIA KURA ZAO KUINDOA SERIKALI WANAYOIONGOZA MADARAKANI..

    ReplyDelete
  2. KENGE WEWE ULIOANDIKA HUMU. NGEDERE KAMA NYINYI MKIIBA KUKU MNAFUNGWA MIAKA SABA LAKINI VIGOGO KAMA HAWA SHERIA HAIWAGUSI KWANI WAMEKULA WOTE. NI WEZI WOTE HAWA SASA ULIONA WAPI MWIZI AKAMTOLEA USHAHIDI WA KUMFUNGA MWIZI MWENZIE? AMKENI NYIE MMELALA USINGIZI

    ReplyDelete