28 August 2012

DAWA


Mfanyabiashara wa kuuza dawa za kuua wadudu akitafuta wateja kama alivyokutwa Barabara ya Samora na Azikiwe, Posta Dar es Salaam jana. Uuzaji wa dawa hizo bila utaratibu maalumu ni hatari. (Picha na Heri Shaaban)

No comments:

Post a Comment