Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kushoto), akimuaga Rais Mstaafu wa Awamu ya pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi, baada ya kushiriki swala ya Sikukuu ya Iddi el Fitri, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana. (Picha na OMR)
No comments:
Post a Comment