Tingatinga la Kampuni ya STRABARG likivunja kingo ya Barabara ya Morogoro eneo la Magomeni, Manispaa ya Kinondoni Dar se salaam jana, kampuni hiyo inajenga barabara ya magari ya haraka jijini. (Picha na Sittu Athuman)
Kwanza kabisa napenda kuwapongeza mawaziri , wa wizara za Ujenzi Mheshimiwa Magufuli pamoja na Waziri wa Uchukuzi Dr Mwakyembe
Nianze na Mheshimiwa Magufuli , wote tunamfahamu waziri huyu tangu utawala wa Raisi Mwinyi, Mkapa na sasa Kikwete kuwa ni waziri mchapa kazi anayeweka uzalendo mbele.
Nasema hivyo kwani wote tunafahamu juhudi alizozifanya na ahadi zake za kuweka barabara lami toka Mtwara hadi Mwanza nafikri ahadi hiyo imekamilika au ipo mbioni kukamilika na kama alivyosema wakati fulani kuwa anataka mtu atoke na taxi toka Mtwara hadi Mwanza
Pili jinsi alivyolisimamia daraja la Kigamboni na sasa mji mzuri wa Kigamboni utafanana na ukuaji wa eneo la katikati ya jiji /city center.
Sasa amehamia kwenye barabara zinazoingia katikati ta jiji , na matunda ya kuwepo na mabasi yanayokwenda kwa kasi njia zake zinaanza kujengwa kama tunavyoshughudia hapo juu
Hivi majuzi nilimsikia akizungumzia ilani ya chama na mpango wa serikali wa kuwepo na mpango wa kujenga barabara za hewani /flyover ili kupunguza msongomano na kujenga barabara za pete/Beltway za mzunguko mkubwa za duara ili barabara zingine ziwe kama feeder road
Hongera Mheshimiwa naomba hili la beltway /barabara za pete uanze nalo ili kuanza kuonyesha eneo la jiji kama litapitia Chalinje , Bagamoyo, rufiji. nk watu waanze kujiandaa na mipango miji ianze kazi yake.
Aidha baada ya hapo michoro ya flyover ianze kujulikana ili kupunguza kile kinachofanyika sasa cha kuvunja nyumba za watu.
Nafikiri umefika wakati sasa miji yetu kujengwa kwa kufuata mtindo wa magharibi ambao wanafanya planning mapema na kabla ya ujenzi haujaanza mabomba kama ya gesi , maji na wakati mwigine umeme vyote huwa vimeshatandikwa aridhini na hakuna uvunjaji umkubwa utakaotokea baada ya hapo
Nasema hivyo kwani nimeshughudia watu wakipoteza nyumba zao za asili kama barabara zinapopanuliwa. Lakini kungekuwepo na ulinzi madhubuti na kuwakataza watu wasijenge karibu za barabara hizo na ikionekana ni kuvunjwa tu
Nasema hivyo nikigusia nyumba zilizokuwa zimejengwa kwenye hifadhi ya bahari zilizovunjwa. Kama zingevunja bado kwenye msingi kidogo uchungu ungepungua kwa maana hiyo wale wote ambao serekali inajua imewaacha wakaendeleza sehemu hizo kwa makosa wakati ni huu kuwaoa notice na kama kuna fidia basi mji uonekane mpya hasa pale flyover na barabara za chini ya ardhi zinapopangwa kupita
Pia nakuomba tena kuliangalia swala la kuuza nyumba za serikali hasa maeneo yale muhimu ya jiji/osterbay/ ipelekwe hoja binafsi bungeni ili bunge lidhidhie watu warudishiwe fedha zao kulinda heshima yako kama waziri wa ujenzi
Kwa upande wa waziri wa uchukuzi najua fika wewe na Magufuli milikuwa kwenye ofisi moja hivyo umeiga uchapakazi wake. Nakupongeza kwa juhudi za kuanzisha treni za abiria Dar. Pia kilio cha Meli kwa ajili ya watu wa mwambao Tanga, Pemba , Dar Zanzibar Mtwara, Lindi kuwepo na meli kubwa kwa ajili ya usafiri wa abiria na mali zao
Kwanza kabisa napenda kuwapongeza mawaziri , wa wizara za Ujenzi Mheshimiwa Magufuli pamoja na Waziri wa Uchukuzi Dr Mwakyembe
ReplyDeleteNianze na Mheshimiwa Magufuli , wote tunamfahamu waziri huyu tangu utawala wa Raisi Mwinyi, Mkapa na sasa Kikwete kuwa ni waziri mchapa kazi anayeweka uzalendo mbele.