Kanali mstaafu wa Jeshi la Polisi nchini Idd Kipingu akikabidhi jezi seti moja kwa nahodha wa timu ya Pugu Eli Shadai baada timu yao kuibuka mabingwa wa mashindano ya Polisi Jamii stakishari Ukonga Wilaya ya Ilala,katikati Mkuu wa Polisi Wilaya ya Ukonga Mrakibu Mwandamizi wa polisi Pili Mande. (Picha na Heri Shaaban)
No comments:
Post a Comment