23 July 2012

ZANZIBAR



Mwenyekiti  wa Chama cha Dira ya mabadiliko (ADC), Bw. Said Miraj, akishusha Bendera ya chama hicho ili ipepee nusu mlingoti, kufuatia ajali ya Meli ya Mv. Scarget iliyozama visiwani Zanzibar na kusababisha vifo vya na majeruhi. (Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment