05 July 2012

WIZI WA MAFUTA


Kibaka akifungua koki la mafuta kwa lengo la kuiba kwenye gari lenye namba T 336 ABW lilipokuwa kwenye foleni makutano ya Barabara za Nyerere na Mandela, Dar es Salaam jana. Tabia hii isipodhibitiwa inaweza kusababisha madhara ikiwa ni pamoja na kutokea mlipuko. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment