05 July 2012

WANAZUONI


Naibu Katibu Mkuu wa Wanazuoni wa Kiislam Shekhe Mohamed Issa (kushoto) akitoa tamko kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) Dar es Salaam jana, kuhusu ushiriki wa waislamu katika  Sensa ya Watu na Makazi. (Picha na Heri Shaaban)

No comments:

Post a Comment