Baadhi ya wana kwanya wa Kanisa Anglikana, Yombo wakicheza wakati wa harambee ya kuchangia fedha za ujenzi wa studio kwa ajili ya kurekodi muziki wa injili katika hafla iliyoandaliwa na vijana wa kanisa hilo Jimbo Kuu Tanzania, Dar es Salaam juzi. Picha na Heri Shaaban
No comments:
Post a Comment