09 July 2012

Wamerudi


Baadhi ya Watanzania waliokimbilia Mogadishu, nchini Somalia mwaka 2001, wakiwa kwenye Ofisi ya Uhamiaji Visiwani Zanzibar juzi. Wa kwanza kulia ni Bw. Mohammed Adam (38), akiwa amembeba mwanawe, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ndege ya Umoja wa Mataifa, wanaotazama kamera ni baadhi ya wake wa Watanzania hao, ambao ni raia wa Somalia. (Picha na Juma Mohammed, Maelezo Zanzibar). Tumelazimika kurudia picha hii iliyotoka katika Gazeti la Majira jana, baada ya maelezo ya awali kutofautiana. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza. Mhariri.

No comments:

Post a Comment