17 July 2012

WAHITIMU

Baadhi ya wahitimu waliofanya vizuri katika kozi ya siku 35,elimu ya kutoa huduma sahihi hususani madawa ya binadamu iliyoandaliwa na Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) baada ya kupokea zawadi ya vyeti jijini Arusha mwishoni mwa wiki wakiwa wameshika vyeti vyao.(Picha na Richard Konga)

No comments:

Post a Comment