23 July 2012

WAFANYABIASHARA


Baadhi ya wafanyabiashara ndogo ndogo wa Mihogo ya kuchoma (kushoto) na muuza Kahawa (katikati), walikutwa na kamera yetu, wakipita kwenye Barabara za Mkunguni na Lumumba, Dar es Salaam juzi, wakitafuta wateja. (Picha na Heri Shaaban)

No comments:

Post a Comment