05 July 2012

UZIO



Uzio wa mabati ukiwa umeanguka kwenye Barabara ya Azikiwe na kusababisha usumbufu kwa baadhi ya madereva wa magari na wananchi watumia barabara kwa miguu, kama ulivyokutwa na kamera yetu eneo la Posta, Dar es Salaam jana. (Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment