05 July 2012

Viongozi wa Kiislamu yawakuta makubwa *Msafara wao waingia matatani, polisi yatoa ufafanuzi


Rehema Maigala na Stella Aron

JUMUIYA ya Kiislamu ya Hayatul-Ulamaa, imelitaka Jeshi la Polisi nchini kutoa tamko juu ya askari wake kuwalaza chini, kuwapekua viongozi wa dini hiyo waliokuwa wakitoka katika mihadhara wakidhaniwa kuwa wahamiaji.


Tukio hilo lilitokea jana asubuhi mjini Bagamoyo, mkoani Pwani baada ya polisi wilayani humo, kuwakamata na kuwaweka chini ya ulinzi viongozi hao wakiwa katika msafara wakitokea jijini Tanga kwenda Dar es Salaam.

Viongozi hao ni mashekhe wa jumiiya hiyo na viongozi watatu kutoka nchini Yemen ambao baada ya kupekuliwa na polisi hao, walitoa taarifa kwa wenzao juu ya tukio hilo.

Akizungumza na Majira, mmoja wa mashekhe aliyekuwa katika msafara huo ambaye pia ni Mjumbe wa Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu na kiongozi wa mihadhara nchini, Shekhe Nurdin Kishki, alidai kusikitishwa na kitendo hicho ambacho pia kimewahusisha wageni wao kutoka nje ya nchi.

Akizungumzia tukio hilo, Shekhe Kishki, alisema msafara huo ulikuwa ukitoka Arusha na Tanga kwenda Dar es Salaam ukipitia njia ya Bagamoyo ili kuepuka foleni ya Barabara ya Morogoro.

Baada ya kufika Bagamoyo, walishangaa msafara wao ukisimamishwa na watu waliovaa kiraia wengine wakiwa na silaha.

Alisema baada ya kusimama, waliamuriwa kutelemka katika magari, kulala chini na kuwapekua wakipewa masharti mbalimbali na kutakiwa kutulia.

“Tuliwaeleza kuwa sisi ni mashekhe na tulikuwa tukitoka kwenye mikutano katika mikoa ya Arusha na Tanga, awali tulijua tumetekwa na majambazi lakini baada ya muda, tuligundua walikuwa polisi,” alisema Shekhe Kishki.

Aliongeza kuwa, polisi waliwapeleka Kituo cha Bagamoyo wakiwa chini ya ulinzi mkali kutokana na hisia ya msafara huo kuwa wa wahamiaji.

Akizungumzia sakata hilo, Kamanda wa Polisi mkoani humo,  Ernest Mangu, alikiri kukamatwa kwa Waislamu hao ambao walikuwa wakitoka Tanga kwenda Dar es Salaam.

Alisema viongozi hao walikuwa na msafara wa magari mawili ambapo polisi wa doria waliwatilia shaka na kuwasimamisha ili kupata maelezo yao lakini walipotakiwa kusimama walikaidi.

Mkuu wa Mkoa huo Bi. Mwamtumu Mahiza, alikiri kutokea kwa tukio hilo lakini hakuweza kuthibitisha kama viongozi hao walilazwa chini na kupekuliwa.

14 comments:

  1. huu ni mfumo kristo hivi angekuwa kadinali mwanya angekamatwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha kuleta udini. hii inaonyesha jinsi polisi wetu wanavyofanya kazi kwa kubahatisha usije shangaa kuwa muda mfupi kabla ya kuwakamata hao viongozi wa dini waliwaacha majambazi na wahamiaji haramu wakapita.

      Delete
    2. serikali iwawajibishe askari hao maramoja maana ubalozi wa yemeni nchini utaielewaje serikali yetu kama raia wao wame nyanyaswa na serikali imetulia tu.

      Delete
    3. achana na mawazo ya inferiority complex, nani aliwazuia kuwa na bidii kueandeleza dini yenu bila kujali kujua kusoma na kuandika a,e,i,o,u, the ect. mkakazania kujifunga ushungi badala ya shule. matokeo yake mna upungufu mkubwa wa wasomi ambao wanaweza kuwa protocol ofisa wa misafara hata midogo midogo. Mhashamu Cardinal Pengo halinganishwi na wanaosafiri katika misafara yenye kutia mashaka. Hawezi toka mkoa hadi mkoa bila serikali kujulishwa, si muhuni kiasi hicho

      Delete
    4. hivi ninyi wagalatia mliowajinga na wapumbavu mnafikiria hiyo secular ndo kila kitu ktk maisha ya binadamu ambayo leo hii kwa kudhani mmeipata pamoja na haikuwasaidia kifikra hadi kudiriki kuruhushu ushoga makanisani ndo faida ya hiyo a,e,i,o,u yea congratln for that coz u'll all be in same-sex marriage soon get prepared.Pole sana sheikh kiskh allah ameuona udhalilishaji huo from these infidels of the catholic corps.

      Delete
    5. wagalatia baba yako mshenzi wewe..kwanza hamkuruhusiwa kwenda shule..tumewapa elimu mkajua kuandika hata wagalatia imekuwa noma.. omba serikali ikupeleke shule uarabuni tuone kama utarudi na hiyo bikra yako..fara wewe

      Delete
  2. Huo ni unyanyasaji dhahiri na htakama wangekua wahamiaji wasinge wafanyia hivyo, ni wahamiaji wangapi wanwapita bila wao kuwakamata ni kweli wangekua maaskofu na makadinary wasinge wafanya hivyo huo ni ukweli dhahiri ukatae ukubali ni kwaeli ila INSHAALLAH ALLAH ATATULIPIA HAPAHAPA DUNIANI

    ReplyDelete
  3. Ukweli ni askali lazima wafanye kazi yao,suala la mimi ni shehe linawahusu nini.Labda angekuwa Mufti Simba hapo angepita bila kusumbuliwa au Cardinal au Askofu maana hao ni watu mashuhuri kwenye jamii yetu.Nadhani hata angekuwa Padri au mchungaji wangemsimisha maana hawa siyo maarufu kwani wanaishi vijijini hata kwenye taarifa za habari hawaonekani,na wanapopata nafasi hizo hazitangazwi kama maaskofu au Mufti.Hivyo,tusilaumu ndugu waislamu kwa kuw tu mna woga kwasababu ya KUTOJIAMINI...NA hili ndili linaisumbua jamii ya waislamu"INFERIORITY COMPLEX"Jiamini nanyi muaminiwe!!!!

    ReplyDelete
  4. du kweli kuna watu wana mawazo finyu Cardnal msafara wake hauna shaka. ukimtazama tu unaridhika na mov zake zipo managed barabara. aendi hovyo hovyo tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. yessssssssssssss..wasenge hawaishi kulalamika,

      Delete
  5. Huwa nasikia raha kusoma hoja za waislam.. kazi ya polisi wote tunaijua..na juzijuzi rais kasema kuna matukio ya watu kuingia nchini bila kufuata sheria..alizungumzia wa Ethiopia dodoma nk..Hao waarabu wa yemen wazunguke nchi nzima bila kuulizwa ?? watumishi wa mohamed ! hapa Bongo hakuna shekh wala mohamed wembe unakula kwao..halafu washenzi nyie naomba kuwauliza ,,88 eTI MBINGUNI LUGHA NI KIARABU ???? )) KWELI WARABU BALAAA wanawezaje kuwarubuni ushenzi huo..kwa hiyo hata mungu ni mwarabu na anaongea kiarabu ??? mbuzi nyie ...wajinga sijaona..eti allaaahh wakibaluuuuu..mnatunyima usingizi na kelele zenu.

    ReplyDelete
  6. wewe uliyeandika kuhusu ushoga makanisani..Bora sisi tunaweka wazi siyo siri,, ushoga ulianzia Uarabuni mshenzi wewe kama hujui..Sodoma na gomora ni miji ya huko aliko zaliwa baba yenu mohamed..siyo ulaya au africa..
    na mashekh ndio wasenge wa kwanza duniani...fara wewe..

    ReplyDelete
  7. Naomba watu wasipende kuhusisha makosa ya Serikali na mambo ya mfumo kristo,sasa kama ni hivyo basi Inspekta General ambaye ni muislamu mwenzao anaitwa Said Mwema amewasaliti,kwa hiyo wasipende kulalamikia mfumo kristo wakati mfumo unaofanya kazi ni mfumo Slamu unaongozwa na Said Mwema

    ReplyDelete
  8. Kweli kabisa,Uarabuni watu wanozesha Watoto wa kiume na Wavulana,

    ReplyDelete