11 July 2012

UZINDUZI

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Ahmed Ally 'Madee', akiimba sambamba na mashabiki wake katika uzinduzi wa Ukumbi wa Bongo Club, uliofanyika mwishoni mwa wiki Kimara, Dar es Salaam. (Picha na Victor Mkumbo)

No comments:

Post a Comment