09 July 2012

usafi


Baadhi ya Watendaji wa Kata ya Kariakoo, Manispaa ya Ilala, Jijini Dar es Salaam, wakishirikiana na wafanyabiashara wa eneo hilo, kufanya usafi wa mazingira, kama walivyokutwa na kamera yetu juzi. (Picha na Heri Shaaban)

No comments:

Post a Comment